FULL TIME: ASTON VILLA 1 v STOKE CITY 4
Villa walitangulia kufunga katika Dakika ya 5 kwa Bao la Christian Benteke alipomalizia krosi ya Fabian Delph lakini Stoke walijibu mapigo na kufunga Bao mbili ndani ya Dakika 4 kwa Bao za Peter Odemwingie na Peter Crouch kwenye Dakika za 22 na 26.
Steven Nzonzi aliipa Stoke Bao la 3 katika Dakika ya na Geoff Cameron kupiga Bao la 4 kwenye Dakika ya 90.
Post a Comment