Kapteni
Steven Gerrard anaipatia bao la kwanza Liverpool kwa frii kiki
iliyopita moja kwa moja hadi langoni mwa timu ya Sunderland katika
dakika ya 39.
Kipindi cha pili dakika ya 48 Daniel Sturridge anaiongezea Liverpoool bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland.
Dakika ya 76 Sunderland wanapata bao baada ya kupigwa kona na mabeki wa Liverpool kuukosa na kuangukia kwenye imaya ya mchezaji Ki Sung-Yueng aliyeingia kutoka benchi katika dakika ya 61 na kufunga bao hilo kwa kichwa.
Mpira umekwisha..
RATIBA/MATOKEO
Jumatano Machi 26
West Ham 2 v Hull City 1
Liverpool 2 v Sunderland 1
Jumamosi Machi 29
15:45 Man Utd v Aston Villa
18:00 Crystal Palace v Chelsea
18:00 Southampton v Newcastle
18:00 Stoke v Hull
18:00 Swansea v Norwich
18:00 West Brom v Cardiff
20:30 Arsenal v Man City
Jumapili Machi 30
15:30 Fulham v Everton
18:00 Liverpool v Tottenham
Jumatatu Machi 31
22:00 Sunderland v West Ham

No comments:
Post a Comment