Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 28, 2014

LIVERPOOL 2 v SUNDERLAND 1, STEVEN GERRARD NA DANIEL STURRIDGE WAIPANDISHA LIVERPOOL JUU NAFASI YA PILI!! NJIA NYEUPE SASA KUPIGANIA UBINGWA!!

Kapteni Steven Gerrard anaipatia bao la kwanza Liverpool kwa frii kiki iliyopita moja kwa moja hadi langoni mwa timu ya Sunderland katika dakika ya 39.Steven Gerrard and Luis Suarez celeb Liverpool vs Sunderland
Kipindi cha pili dakika ya 48 Daniel Sturridge anaiongezea Liverpoool bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland.
Daniel Sturridge goal Liverpool vs Sunderland
Dakika ya 76 Sunderland wanapata bao baada ya kupigwa kona na mabeki wa Liverpool kuukosa na kuangukia kwenye imaya ya mchezaji Ki Sung-Yueng aliyeingia kutoka benchi katika dakika ya 61 na kufunga bao hilo kwa kichwa.
Mpira umekwisha..

RATIBA/MATOKEO
Jumatano Machi 26
West Ham 2 v Hull City 1
Liverpool 2 v Sunderland 1

Jumamosi Machi 29
15:45 Man Utd v Aston Villa
18:00 Crystal Palace v Chelsea
18:00 Southampton v Newcastle
18:00 Stoke v Hull
18:00 Swansea v Norwich
18:00 West Brom v Cardiff
20:30 Arsenal v Man City

Jumapili Machi 30
15:30 Fulham v Everton
18:00 Liverpool v Tottenham

Jumatatu Machi 31
22:00 Sunderland v West Ham

No comments:

Post a Comment