UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BAYERN LEVERKUSEN 0 v PARIS SAINT-GERMAIN 4, BLAISE MATUIDI, ZLATAN IBRAHIMOVIC NA YOHAN CABAYE WAICHINJA LEVERKUSEN KWAO

Timu ya Paris Saint-Germain inapata bao la mapema dakika ya tatu(3) kupitia mchezaji Blaise Matuidi akipewa krosi safi na Marco Verratti. Bao la pili limefungwa kipindi hicho hicho cha kwanza kwa mkwaju wa penati kupitia mchezaji Zlatan Ibrahimovic katika dakika ya 39.
Blaise Matuidi wa PSG akishangilia bao lake dhidi ya Bayer Leverkusen usiku, bao la dakika za mapema dakika ya 3.
Post a Comment