Pages

Sunday, February 2, 2014

LIVERPOOL YATOKA SARE NA WEST BROM 1-1, KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE

Bao la Danniel Sturridge la dakika ya 24 baada ya kupewa krosi safi na Luis Suarez. Kipindi Cha pili Dakika ya 67 Kolo Touré amepata pasi kutoka kwa Mignolet na bila kuangalia akatoa pasi vibaya na hatimae mpira akaupata Victor Anichebe na kufunga bao.
Mpaka sasa bao ni 1-1.  Mpira umemalizika kwa sare ya bao 1-1, sare hii ikiwabakisha Liverpool katika nafasi hiyo hiyo ya nne wakiwa na alama 47. Huku WBA wakijikongoja na kupanda juu nafasi moja kutoka kwenye nafasi ya 17.Kocha wa Liverpool, Brendan RodgersDaniel Sturridge akishangilia bao lake huku wachezaji beki wa WBA wakilaumu kwa kusema ni bao la offside.Daniel Sturridge alimtafuta mwenzake Suarez wakapongezanaNini tena nyanyuka...!Kipa wa West Brom Ben Foster akidaka mpira kwenye patashika ndani ya box huku mchezaji wa Liverpool Kolo Toure akiwa amemyemelea
Mchezaji wa West Brom Jonas Olsson aliumia muda mchache kabla refa ajapuliza kipenga kwenda mapumziko.Steven Gerrard alikabwa vibaya na Calaudio Yacob, akajitupa chini...
Asante Kolo! Victor Anichebe akitupia na kufanya 1-1...Kolo (kulia) akipagawa baada ya bao kusawazishwa!!!Suarez hoi!!!! mwangalie na Martin Skrtel akipumua!!!Raheem Sterling akimkaba Liam RidgewellSteven Gerrard kwenye patashika na Matej VydraHakika ilikuwa ni balaa

No comments:

Post a Comment