Pages

Sunday, February 2, 2014

YANGA YAIFUNGA MBEYA CITY LEO TAIFA

Mrisho Ngasa akipambana na mlinzi wa Mbeya City Deogratius Julias katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga imeshinda kwa bao 1-0, bao hilo pekee likifungwa na Ngasa kunako dakika ya 15 ya mchezo.
Inafurahisha ukishinda na kushangilia kwa style kama hii ya Yanga ambayo wenyewe wanaita Yanga music Band kiasi mpaka mwamuzi msaidizi wa mchezo anaoneakana akiburudika kwa midadi na kibendera kukificha kwapani. Lol kweli raha mechi bao.
Sehemu ya mababiki wa Yanga wakishangilia kwa nguvu zote ushindi wa bao 1-0 wa timu dhidi ya Mbeya City uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment