Pages

Sunday, February 2, 2014

WATENDAJI WAPYA WA SIMBA SPORTS CLUB, WAANZA MCHAKATO WA UJENZI WA UWANJA WA KLABU YAO ULIOPO BUNJU

Afisa habari wa Simba Asha Muhaji ametupia picha hii mtandaoni ikiwa ni maelezo "Tukiwa kazini leo maandalizi ya Uwanja wa Bunju Simba Sports Club" baadaye akaendelea kuweka comment  "Yaaa ni eneo zuri sn, yani karibu sana na barabarani, hapo tulikuwa tunaonesha nguvu moja kama kauli mbiu yetu inavyosema ndani ya wiki mbili greda litapita kuanza rasharasha"
Katibu wa Simba Ezekiel Kamwaga yeye emetupia ujumbe huu ..mguu kwa mguu!
.....msitu kwa msitu!
.....bega kwa bega hadi SIMBA SC ipate uwanja wake.

No comments:

Post a Comment