Pages

Saturday, February 8, 2014

CHELSEA YAIFUNGA NEWCASTLE UNITED 3-0, EDEN HAZARD AFUNGA HAT-TRICK


Eden Hazard 27' •Eden Hazard 34
Kipindi cha kwanza kimemalizika Chelsea wakiwa 2-0, Bao zote mbili zikifungwa na  Eden Hazard dakika ya 27 na 34 kipindi cha kwanza.
Kipendi cha pili dakika ya 63 Chelsea wakapata mkwaju wa penati na  Eden Hazard  akafunga bao hilo na kutimiza bao tatu (Hat-Trick) dhidi ya timu ya Newcastle United iliyokuwa ugenini leo Stamford Bridge.

No comments:

Post a Comment