Pages
▼
Tuesday, January 28, 2014
MCD AFARIKI DUNIA AKIWA NYUMBANI KWAO MOSHI KILIMANJARO
Mpiga tumba maarufu Tanzania Masoud Mohamed aka MCD hatunae tena.
Kwa taarifa tulizo zipata toka Moshi kupitia msemaji wa Twanga Pepeta Rehani,ndugu yetu MCD amefariki usiku wa kuamkia leo Nyumbani kwao Moshi baada ya kuugua kwa takribani miezi miwili.
MCD atakumbukwa kwa uwezo wake wa kupiga tumba na kuchezesha wapenzi wa Dansi...Upole wake, kipaji chake cha kupiga tumba na uchapa kazi wake usio na kikomo unampa nafasi ya kukumbukwa daima.
Aliwahi kufanya kazi na Mashujaa Musica kabla ya kurudi african stars.
Kwa michango yote wasiliana na Lwiza Mbutu Rais wa Twanga pepeta kwa no..0787-090 090 au 0762 460 090 na 0653 797 976.. MUNGU AILAZE ROHO YA MPENDWA WETU MCD PAHALA PEMA PEPONI.. MUNGU ALITOA,MUNGU AMETWAA..APUMZIKE KWA
No comments:
Post a Comment