Pages

Tuesday, January 28, 2014

MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA AJULIKANAYE KWA JINA LA MZEE DUDE AMEFARIKI DUNIA


MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO WAKE KUPITIA LUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, JANA SAA 12 JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
TAARIFA ZAIDI JUU YA KIFO CHAKE NA MAZISHI TUTAENDELEA KUKUJUZANA.....Marehemu Mzee Dude
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

No comments:

Post a Comment