Pages

Tuesday, January 7, 2014

MAPINDUZI CUP, ROBO FAINALI JUMATANO KUCHEZWA GOMBANI NA AMAAN STADIUM

ROBO FAINALI za Mapinduzi Cup, Kombe la Kusheherekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zitafanyikaJumatano Januari 8 kwenye Viwanja vya Gombani huko Pemba na Amaan Stadium Jijini Zanzibar. 
Timu zilizofanikiwa kutinga Robo Fainali kutoka Kundi A ni URA ya Uganda, Chuoni na Clove Stars,zote za Zanzibar, Kundi B ni KCC ya Uganda, Simba na KMKM, na Kundi C ni Azam FC na Tusker ya Kenya.
ROBO FAINALI
Jumatano Januari 8
Gombani Stadium, Pemba
SAA 8 MCHANA: Tusker v URA
SAA 10 JIONI: Azam FC v Clove Stars
Amaan Stadium
SAA 10 JIONI: KMKM v KCC
SAA 2 USIKU: Simba v Chuoni

No comments:

Post a Comment