Pages

Tuesday, January 7, 2014

CAPITAL ONE CUP: NUSU FAINALI LEO JUMANNE NI SUNDERLAND vs MANCHESTER UNITED, JUMATANO KESHO NI MANCHESTER CITY vs WEST HAM UNITED.

KOMBE la Ligi, sasa likiitwa CAPITAL ONE CUP, Jumanne na Jumatano Usiku, litakuwa na Mechi zake za Nusu Fainali ambazo huchezwa kwa mtindo wa Nyumbani na Ugenini. Jumanne Usiku Mabingwa wa England, Manchester United, watakuwa Stadium of Light kucheza na Sunderland na Jumatano Usiku huko Etihad, Man City watacheza na West Ham.Kipa De Gea kama kawaida..Carrick na Rooney kurudi dimbaniAnderson?David Moyes


Marudiano ni Januari 21 na 22

CAPITAL ONE CUP

NUSU FAINALI
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 7

Sunderland v Manchester United
Jumatano Januari 8
Manchester City v West Ham United
Marudiano
Jumanne Januari 21

West Ham United v Manchester City
Jumatano Januari 22
Manchester United v Sunderland

DONDOO MUHIMU:
Raundi ya 5: Wiki ya kuanzia Desemba 16
Nusu Fainali-Mechi ya Kwanza: Wiki ya kuanzia Januari 6
Nusu Fainali-Marudiano: Wiki ya kuanzia Januari 20
Fainali: Jumapili 2 Machi 2014

No comments:

Post a Comment