Pages

Monday, January 6, 2014

FA CUP: DERBY COUNTY 0 v CHELSEA 2, BAO ZA MIKEL OBI NA OSCAR ZAISONGESHA BLUES RAUNDI YA NNE KUKUTANA NA STOKE CITY!

Wafungaji wa Chelsea mpaka sasa wa mabao hayo mawili ni John Mikel Obi dakika ya 66, bao la kichwa baada ya kupigwa kona na bao la pili ni la Oscar dakika ya 71 bao la shuti kali ambalo limemfanya kipa wa Derby Lee Grant kupitwa bila kulikinga.
RATIBA/MATOKEO
Jumapili Januari 5
Nottingham Forest 5 v West Ham 0 FT
Sunderland 3 v Carlisle 1 FT
Derby 0 v Chelsea 2 FT
Liverpool 1 v Oldham 0*
Port Vale 2 v Plymouth 1*
19:30 Manchester United v Swansea

No comments:

Post a Comment