Pages

Wednesday, January 29, 2014

LIVERPOOL YAIFUNGA EVERTON 4-0, DANIEL STURRIDGE AFUNGA BAO MBILI, GERRARD NA SUAREZ WAKITUPIA NA KUWAUA WATANI WAO WA JADI


Dabi ya Merseyside imemalizika kwa Liverpool kuwafunga watani zao Everton Uwanjani Anfield kwa kuwatandika Bao 4-0.
Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa mbele 3-0 kwa Mabao ya Gerrard, Sturridge, Bao 2, na Suarez kupiga la 4 Kipindi cha Pili.Mapema waamuzi na timu kapteni wakisalimiana kabla ya kipute kuanzaMakocha wote wawili, Liverpool na EvertonMajanga Hapa! uondoaji kichwa!Patashika!Steven Gerrard akitupiaRaha za kufunga bao Steven Gerrard akichomoka kwa mbio kwenda mbele ya mashabiki kushangiliaGerrard akishangilia bao lake baada ya kufunga watani wao Everton katika uwanja wao wa AmfieldLiwalo na liwe Gerard akishangilia mbele ya mashabiki wa Liverpool Danniel Sturridge akifunga bao lake la kwanza hapa na kufanya 2-0Hakunaga: Angalia shangilia yao hawa watu wawili Sisi ndi sisi....tunataka tucheze UEFA mwaka ujao...tupishe!Luis Suarez akiwamaliza Everton Uhhhhhh!!  Luis Suarez akishangilia bao lake la nne na kufanya 4-0.Luis Suarez baada ya kuwafunga watani wao wa jadi uwanja wote kelele!!!Daniel Sturridge na Gerrard 

No comments:

Post a Comment