Pages

Wednesday, January 29, 2014

MAN UNITED YAIFUNGA CARDIFF 2-0, VAN PERSIE ARUDI VYEMA AANZA KWA KUFUNGA BAO, ROONEY NAE MAKALI PALE PALE.

Mchezaji mpya, Juan Mata, alianza Mechi yake ya kwanza kwa Man United na kuanzisha muvu iliyozaa Bao la kwanza Mfungaji akiwa Robin van Persie aliekuwa akicheza Mechi yake ya kwanza tangu Desemba 10 alipoumia.
Bao la Pili lilifungwa vizuri sana na Ashley Young na kuipa Man United ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Cardiff City ambayo Meneja wao mpya, Ole Gunnar Solksjaer, Nguli wa Man united, alipokewa vizuri na Mashabiki wa Old Trafford.


Kazi nzuri Robin van Persie

Van Persie kulia akijitwisha tena na kufunga bao.
Juan Mata kaanza kipindi cha kwanza na pia mpaka cha pili kisha nafasi yake ikachukuliwa na Rooney

Van Persie akikatiza mbele ya mchezaji wa CardiffValencia kidogo yawe majanga!Young akishangilia bao lake la pili na kufanya 2-0 Much-maligned: Ashley Young made it 2-0 with a long-range shotAshley Young akifanya 2-0

Kocha wa Cardiff Ole Gunnar Solskjaer akinuna baada ya kuona timu yake haipati hata la kufutia machozi pamoja na kipindi cha pili kucheza vizuri.

Wayne Rooney akichukua nafasi ya Van Persiekatika dakika ya 63 kipindi cha pili
Evra akichuana na mchezaji wa Cardiff leo usiku kwenye uwanja wa Old Trafford
Mata akipongezana na Van Persie

Mtanange ulipoisha wakipongezana na mashabiki

Mzee mzima Sir Alex Ferguson nae alikuwepo Old Trafford usiku huu

Rooney na Solskjaer wakipena neno baada ya mpira kumalizika, usiku huu United wakishinda bao 2-0

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
POS.LOGO &TEAMPWDLGDPTS
1ArsenalArsenal2316432452
2Manchester CityManchester City2216243850
3ChelseaChelsea2215432349
4LiverpoolLiverpool2314452946
5Tottenham HotspurTottenham Hotspur221345343
6EvertonEverton2311931142
7Manchester UnitedManchester United2312471140
8Newcastle UnitedNewcastle United231148437
9SouthamptonSouthampton23887432
10Swansea CitySwansea City236611-424
11Aston VillaAston Villa226610-724
12Norwich CityNorwich City236611-1724
13Hull CityHull City236512-723
14Crystal PalaceCrystal Palace237214-1623
15West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion224108-522
16Stoke CityStoke City225710-1422
17FulhamFulham236116-2819
18West Ham UnitedWest Ham United224612-1118
19SunderlandSunderland224612-1518
20Cardiff CityCardiff City234613-2318

No comments:

Post a Comment