Pages

Wednesday, January 29, 2014

ARSENAL YATOKA SARE NA SOUTHAMPTON 2-2,MATHIEU FLAMINI APIGWA KADI NYEKUNDU

 

Mwamuzi wa Mtanange Lee Mason akimwaonesha kadi nyekundu Flamini na kumwondoa nje katika kipindi cha pili. Arsenal wametoka sare na Southampton kwa bao 2-2. Bao la kusawazisha limefungwa na Adam Lallana katika kipindi cha pili katika dakika ya 54 baada ya dakika 2 tu kupita Gunners kufunga bao. Bao za Arsenal zimefungwa na Giroud dakika ya 48 kipindi cha pili, Wakati Cazorla akifunga bao katika dakika ya 52. Southampton wao ndio walianza kuifunga Arsena katika kipindi cha kwanza dakika 2 na Fonte, Lallana akisawazisha bao la Arsenal katika dakika ya 54 na Mpira kumalizika dakika 90 wakiwa sare ya 2-2.
Mchezaji wa Southampton Adam Lallana,(Katikati) akishangilia bao lake la kusawazisha katika dakika ya 54 dakika mbili baada ya Arsenal kufunga bao.

 Santi Cazorla akishangilia bao lake la pili baada ya kuifunga Southampton na kufanya 2-1

Olivier Giroud ndie aliesawazisha bao kwa kufanya Southampton 1v Arsenal 1 katika dakika ya 48

Jose Fonte akifunga bao la kwanza kwenye uwanja wao wa St Mary usiku huu katika dakika ya 21 kipindi cha kwanza.

Kocha mkuu Arsene Wenger akilalamila uwanjani baada ya kuona kiwango cha chini wanachokicheza vijana wake ....kuruhusu bao!!!

Fonte baada ya kuiwasha Arsenal
VIKOSI:
Southampton:
Boruc, Chambers, Fonte, Yoshida, Shaw, Cork, Schneiderlin, S. Davis (Do Prado 90), Lallana, Rodriguez, Gallagher (Ward-Prowse 70)
Unused subs: Kelvin Davis, Clyne, Wanyama, Hooiveld, Isgrove.
Goals: Fonte 21, Lallana 54.
Booked: Rodriguez, Ward-Prowse

Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Flamini, Ozil, Cazorla (Gibbs 86), Gnabry (Oxlade-Chamberlain 70), Giroud (Podolski 90)
Subs: Vermaelen, Fabianski, Bendtner, Jenkinson, Gibbs.
Goals: Giroud 48, Cazorla 52
Booked: Giroud
Sent off: Flamini
Referee: Lee Mason

No comments:

Post a Comment