Pages

Monday, January 27, 2014

FA CUP: DROO RAUNDI YA 5 YAFANYIKA,MANCHESTER CITY vs CHELSEA, ARSENAL vs LIVERPOOL


Kocha wa Chelsea  Jose Mourinho timu yake kucheza na  Manchester CityArsenal kuwakaribisha Liverpool raundi ya tano.
DROO KAMILI:
Manchester City v Chelsea
Sheffield United AU Fulham v Nottingham Forest AUr Preston NE
Arsenal v Liverpool
Brighton v Hull
Cardiff City v Wigan
Sheffield Wednesday v Charlton
Sunderland v Southampton
Everton v Swansea

**MECHI KUCHEZWA FEBRUARI 15 na 16

DROO ya Raund ya 5 ya FA CUP imefanyika hii Leo na kuibua Mechi za Mvuto mkubwa kwa kupambanisha Vigogo ambapo Manchester City itaivaa Chelsea na Arsenal kukutana na Liverpool.
Mechi zingine zitakazohusisha Timu za Ligi Kuu England ni zile kati ya Sunderland v Southampton na Everton v Swansea.
Mechi hizi zitachezwa Wikiendi ya Febbruari 15 na 16 na Washindi kutinga Robo Fainali.
Droo hiyo ilifanyika huko Wembley Stadium Jijini London na kuendeshwa na Andros Townsend, Mchezaji Chipukizi wa Tottenham, pamoja na Baba yake Mzazi, Troy, ambae ni Mwanaharakati maarufu kwenye Soka.

RATIBA ZA TIMU HIZI TATU ZILIVYO KWA MWEZI UJAO WA PILI:

RATIBA YA MANCHESTER CITY
Feb 12 - Sunderland (H)
Feb 15/16 - Chelsea (H)
Feb 18 - Barcelona (H)
Feb 22 - Stoke (H)


RATIBA YA ARSENAL
Feb 12 - Man United (H)
Feb 15/16 - Liverpool (H)
Feb 19 - Bayern Munich (H)
Feb 22 - Sunderland (H)



RATIBA YA CHELSEA
Feb 11 - West Brom (A)
Feb 15/16 - Man City (A)
Feb 22 - Everton (H)
Feb 26 - Galatasaray (A)

No comments:

Post a Comment