Pages

Monday, January 27, 2014

FA CUP: CHELSEA ILIVYOICHAPA STOKE CITY 1-0, BAO PEKEE LA OSCAR LAWAPA USHINDI BLUES SASA KUKUTANA MAN CITY KATIKA RAUNDI YA TANO

Bao pekee la Oscar katika kipindi cha kwanza dakika ya 27 limetosha kuwapa ushindi Blues, bao likiwa la Frikiki iliyopigwa kiufundi na Oscar ilikwenda moja kwa moja wavuni na kuwapa Chelsea Ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na Stoke City Uwanjani Stamford Bridge katika Mechi ya Raundi ya 4 ya FA CUP.Taswira ya mchezo huo ulivyoanza leo jioni katika uwanja wa Chelsea Stamford Bridge.Mchezaji mpya Nemanja Matic kwenye majanga na mchezaji wa Stoke Stephen IrelandKipa wa Chelsea Mark Schwarzer akipangua mpira dhidi ya adui Peter CrouchFrank Lampard akiparangana kuuvuta mpira dhidi ya Wilson Palacios wa StokeBao la Oscar lilipatikana kwa friikiki Kipa wa Stoke City Asmir Begovic hakuweza hata kuufikia mpira huoKipa wa Stoke City Asmir Begovic akikubali shuti la Oscar hapa kwenye lango lake kipindi cha kwanza.Oscar akishangilia bao lakePeter Crouch wa Stoke City akiondosha mpira wa kichwa mbele ya Gary Cahill
David Luiz kwenye patashika!!
Ryan Shawcross akimzima Eden Hazard.
Eto'o leo hakuweza kuambulia chochote!!Marko Arnautovic wa Stoke City akikatizwa na Nemanja Matic mchezaji mpya wa Chelsea.
VIKOSI:
Chelsea: Schwarzer 6, Ivanovic 6, Cahill 7, Luiz 6, Cole 6, Lampard 6, Matic 7, Hazard 7, Oscar 7 (Willian 82), Schurrle 5 (Ramires 70), Eto'o 5 (Ba 85)
Substitutes not used: Cech, Mikel, Terry, Azpilicueta
Manager: Jose Mourinho 7
Scorer: Oscar 27
Stoke City: Begovic 7, Cameron 6, Shawcross 7, Pieter 6 (Muniesa 85), Wilson 6, Palacios 5 (Assaidi 72), Nzonzi 6, Walters 5, Ireland 5, Arnautovic 6 (Adam 83), Crouch 7
Substitutes not used: Whelan, Guidetti, Sorensen, Shotton
Manager: Mark Hughes 5
Booked: Cameron, Wilson, Pieters
Referee: Chris Foy (Merseyside)
Attendance: 40,845

No comments:

Post a Comment