Pages

Sunday, January 5, 2014

ARSENAL YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPURS KWENYE FA CUP BAADA YA KUIFUNGA 2-0.

One up: Arsenal's Spanish midfielder Santi Cazorla celebrates after opening the scoring against Tottenham
Bao za Arsenal leo zimefungwa na Cazorla kipindi cha kwanza dakika ya 31, huku bao la pili likifungwa na Rosicky dakika ya 62. Spurs Wanaondoshwa kwenye michuano hii baada ya kipigo hicho kutoka kwa Gunners inayonolewa na Mzee Arsene Wenger huku Spurs ikishikiliwa na kocha wa Muda kwa msimu huu Sherwood.
Unstoppable: Cazorla watches the ball fly past Spurs goalkeeper Hugo Lloris into the net for the opening oal
Cazorla akimfunga kipa wa Spurs Hugo Lloris na kufanya 1-0
On target: Tomas Rosicky puts the ball past Lloris as Arsenal go 2-0 up on Spurs in the FA Cup third round
Tomas Rosicky akitupia na yeye bao la pili na kufanya 2-0 leo kwenye mchuano wa kombe la FA Cup Hatua ya tatu.
On his knees: Rosicky celebrates as Arsenal seal their place in the fourth round of the FA Cup
Rosicky akishangilia bao lake leo kwenye FA Cup na kwa kuisogeza Gunners hatua ya nne ya michuano hiyo.
Jubilation: Arsenal fans celebrate as they watch their side stroll to victory over their North London rivals
Mashabiki wa Arsenalwakishangilia timu yao leo usiku baada ya kuifunga Spurs bao 2-0 na kusonga mbele
Team orders: Tottenham Hotspur manager Tim Sherwood shouts instructions at his players
Meneja wa Tottenham Hotspur Tim Sherwood akipaza sauti kuwapa maelekezo wachezaji wake leo kwenye uwanja wa Emirates.
Reminder: Injured Theo Walcott taunts Tottenham fans with a 2-0 gesture as he is stretchered off
Ushindi huu wa leo wa bao 2-0 pia umemwachia maumivu Theo Walcott hapa ni katika dakika za mwishoni akiondolewa nje ya uwanja baada ya kuumia.
VIKOSI:
ARSENAL: Fabianski 7, Sagna 6, Monreal 6, Arteta 6 (Ozil 75, 6), Koscielny 6, Vermaelen 6 (Mertesacker 45, 6), Gnabry 7, Wilshere 6 (Flamini 71, 6), Walcott 6, Rosicky 7, Cazorla 7
Subs not used: Podolski, Viviano, Jenkinson, Park
Goals: Cazorla 31, Rosicky 62
Booked: Vermaelen
Manager: Arsene Wenger 7
TOTTENHAM: Lloris 6, Walker 5, Rose 4, Bentaleb 7, Dawson 5, Chiriches 5, Lennon 6, Dembele 6, Soldado 5 (Chadli 63, 6), Adebayor 5, Eriksen 5
Subs not used: Capoue, Friedel, Fryers, Kane, Fredericks, Obika
Manager: Tim Sherwood 6
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 59,476

No comments:

Post a Comment