Pages

Sunday, November 17, 2013

PICHA ZA MATUKIO YA MASHINDANO YA MCHEZO WA WAVU YA KOMBE LA NYERERE WANAUME YALIYOKUWA YAKIFANYIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA, MAGEREZA KENYA YACHUKUA UBINGW

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq  akiongea kufungua mashindano

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq akisalimiana na wachhezaji wa Magereza Tanzania wakati wa ufunguzi

Magereza Coast ya Kenya



Magereza Tanzania 


Magereza Tanzania wakipambana na Magereza Coast ya Kenya kwenye mxchezo wa ufunguzi


Mchezaji wa timu ya Magereza ya mchezo wa wavu toka Pwani nchini Kenya (Prison Coast), A. Bett akipiga mpira huku wachezaji  T. Muna na M. Mayala wa Magereza ya Tanzania wakizuia mpira usitue kwenye uwanja wao wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya kombe la Nyerere yanayochezwa Uwanja wa Ndani wa Taifa.  Magereza Kenya ilishinda kwa seti 2 kwa 1. 


No comments:

Post a Comment