Pages

Saturday, November 16, 2013

JAPAN YATOSHANA NGUVU NA UHOLANZI NI BAADA YA KUFUNGANA 2-2

TIMU ya taifa ya Japan imetoka nyuma kwa mabao mawili na kutoa sare ya 2-2 na Uholanzi leo katika mechi ya kirafiki baina ya timu mbili zilizofu Kombe la Dunia.

Mkongwe Rafael van der Vaart alifunga bao dakika ya 12 na akamsetia Arjen Robben kufunga la pili dakika ya 38. Lakini Kelsuke Honda akaisaidia Japan kupambana kupata sare. Japan ilipata bao lake la kwanza kabisa katika historia ya mechi zake na Uholanzi kupitia kwa Yuga Osako dakika ya 43 na Honda akasawazisha dakika ya 60.

Kikosi cha Japan kilikuwa: Nishikawa, Uchida/Sakai dk77, Yoshida, Konno, Nagatomo/Sakai dk72, Hasebe/Endo dk46, Yamaguchi, Okazaki, Honda, Kiyotake/Kagawa dk46 na Osako/Kakitani dk72.
Uholanzi: Cillessen, Janmaat, de Vrij, Vlaar, Blind, Nigel de Jong/Willems dk46, Strootman, van der Vaart/de Guzman dk78, Robben, Lens na Siem de Jong/Depay dk69.
Keisuke Honda akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kutoka sare ya 2-2


Firm control: Goals from Rafael van der Vaart and Arjen Robben had given Holland a two-goal lead in the first period

Unorthodox: Ron Vlaar tries an odd rugby-style method of tackling on Japan's Shinji Okazaki

Chase is on: Arjen Robben, who scored Holland's second goal, is pursued by Yuto Nagatomo
Claimed: Dutch goalkeeper Jasper Cillessen grabs the ball ahead of Shinji Okazaki

No comments:

Post a Comment