Pages

Wednesday, November 27, 2013

ARSENAL ILIPOIFUNGA MARSEILLE 2-0 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Jack Wilshere (kulia) akishangilia bao lake la dakika ya mapema 1 baada ya kuipa bao la haraka timu yake ya Arsenal. Dakika ya 65 kipindi cha pili Jack Wilshere akaiongezea bao la pili timu yake ya kwa ushirikiano mzuri wa Mesut Özil ndani ya box na kiwezesha Arsenal iongoze  mtanange uwe 2-0 dhidi ya Marseille.Mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey akiangushwa na mchezaji wa Marseille Nicolas N'Koulou na mwamuzi kusema ni penati!!

Mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil (katikati) akichonga mkwaju wa penati na hatimae kipa wa Marseille Steve kuupangua.
Wilshere akikatiza kwenda kufunga!
Jack Wilshere akitupia bao lake la mapema dakika ya kwanza
Jack Wilshere gave Arsenal the lead against Marseille after just 29 seconds.
Wilshere akipeta baada ya kufunga bao katika kipindi cha kwanza!!
Kipindi cha pili Jack Wilshere amepumzishwa na nafasi yake ikachukuliwa na Theo Walcott, Nae Rosicky kipindi hicho hicho cha pili akatolewa nje kwa kupumzishwa nafasi yake akaivaa Cazorla. Henry akifurahi baada ya  Wilshere kutupia bao la haraka!! 

No comments:

Post a Comment