Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, October 2, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: SHAKHTAR DONETSK 1 v MANCHESTER UNITED 1

Danny Welbeck anaipatia bao Manchester United dakika ya 18 Baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Fellaini na kufanya United waongoze kwa bao 1-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk. Hadi timu zinaenda mapumziko timu ya Manchester United ndio ilikuwa inaongoza kwa bao 1-0. Kipindi cha pili dakika ya 76 mabeki wa United wakafanya uzembe na mchezaji wa Shakhtar Donetsk Taison akaachia shuti na hatimaye kuisawazishia timu yake bao nakufanya 1-1.Marouane Fellaini, kushoto, na mchezaji wa Shaktar Donetsk Yaroslav Rakitskiy wakichuana

Welbeck akifunga bao dakika ya 18 kwenye uwanja wa  Donbass Arena usiku huu

Welbeck akipongezwa na Fellaini usiku huu baada ya kufunga bao

Fellaini na wenzake wakimpongeza Welbeck baada ya kufunga bao usiku huu ugenini  Ukraine RATIBA/MATOKEO

Jumatano 2 Oktoba 2013
Shakhtar Donetsk 1 v 1 Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen 2 v 1 Real Sociedad de Fútbol
Juventus 2 v 2 Galatasaray A.Ş.
Real Madrid 4 v 0 København
Paris Saint-Germain 3 v 0 SL Benfica
RSC Anderlecht 0 v 3 Olympiacos FC
Manchester City 1 v 3 Bayern München
PFC CSKA Moskva 3 v 2 Viktoria Plzeň

No comments:

Post a Comment