Pages

Thursday, October 10, 2013

TIMU YA TAIFA YA POOL YAPEWA VIFAA VYA MICHEZO

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(wa pili kushoto) akimkabidhi katibu wa chama cha Pool Taifa(TAPA) vifaa vya michezo kwa ajili ya kushiliki mashindano Pool Afrika yanayotarajiwa kufanyika Malawi kuanzia Octoba 23-26,2013.Makabidhiano hayo yalifanyika TBL Dar es Salaam jana.Katikati ni nahodha wa timu,Charles Vernance na Meneja wa timu, Babil Hizza

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(wa pili kushoto) akimkabidhi katibu wa chama cha Pool Taifa(TAPA) vifaa vya michezo kwa ajili ya kushiliki mashindano Pool Afrika yanayotarajiwa kufanyika Malawi kuanzia Octoba 23-26,2013.Makabidhiano hayo yalifanyika TBL Dar es Salaam jana.Kushoto ni nahodha wa timu,Charles Vernance na Meneja wa timu, Babil Hizza.

No comments:

Post a Comment