Pages

Thursday, October 10, 2013

DANIEL STURRIDGE AJIWEKA SAWA KUCHEZEA TIMU YA TAIFA ENGLAND KATI YAO NA MONTENEGRO.


EnglandDamiel Sturridge akifanya mazoezi na wenzake wa England tayari kujiwefa sawa kupambana na Montenegro michuano ya kwenda kucheza kombe la Dunia Brazil 2014.Three reasons why England WILL qualify for the World CupKocha mkuu wa England Roy Hodgson kwenye mazoezi akiangalia vijana wakeHappy days: Daniel Sturridge and Daniel Welbeck share a joke during the England training session at London Colney on Thursday
Daniel Sturridge na Daniel Welbeck wakiteta jambo na kufurrahia leo kwenye mazoezi kwenye uwanja wa Colney leo AlhamisW WayneThree reasons why England WILL qualify for the World Cup Rooney na Daniel Sturridge ajiwa kufanya maajabu kupeleka timu yao Brazil
Skipper: Steven Gerrard faces Phil Jones and Tom Cleverley, during a training session at London ColneySteven Gerrard, Phil Jones na Tom Cleverley, leo kwenye mazoezi yao huko London Colney
Having a laugh: Wayne Rooney shares a joke with midfielder James Milner and striker Jermain DefoeWayne Rooney na James Milner pamoja na striker Jermain Defoe wakiteta jambo na kucheka hapa..
Hitman: Rooney was in a relaxed mood at London Colney as England prepare for their World Cup qualifiersMchezaji wa Manchester United Rooney nae ni moja ya jembe linalotegemewa kwenye kikosi cha kuchuana kwenye mashindano hayo ya kugombea nafasi ya kucheza Kombe la dunia 2014 huko Brazil.
The boss: Roy Hodgson watches his England players train on Thursday morning at Arsenal's London Colney facilities
Kocha mkuu Roy Hodgson akiangalia wachezaji wake wanaokipiga katika timu ya Arsenal Under pressure: Joe Hart will be hoping for a solid performance in goal after criticism in some of his recent performances for Man City
Kipa Joe Hart wa Man City nae ni moja ya wachezaji wa England anayetarajiwa kucheza kikosi cha kwanza.
On your toes! Tom Cleverley, Jack Wilshere, Phil Jones and Chris Smalling work on their footworkTom Cleverley, Jack Wilshere, Phil Jones na Chris Smalling wakifanya mazoezi leo hii..

No comments:

Post a Comment