Pages

Sunday, October 20, 2013

ENGLISH PREMIER LEAGUE: CHELSEA 4 vs CARDIFF 1, HAZARD, ETO'O NA OSCAR WAIFANYIA KWELI CARDIFF HUKU KOCHA MOURINHO ATOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU


Samuel Eto'o amefungua akaunti yake mabao ya mabao Chelsea, kikosi cha Jose Mourinho kikishinda 4-1 dhidi ya Cardiff na kupanda di nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Chelsea ilitoka nyuma kwa 1-0 na kupata ushindi huo, baada ya makosa ya beki David Luiz kumpa Jordon Mutch nafasi ya kumfunga Petr Cech, ambayleo amecheza mechi yake ya 300 Ligi Kuu.
Bao la kusawazisha la Chelsea lilitokana na maamuzi ya kimakosa ya refa Anthony Taylor ambalo lilifungwa na Edin Hazard dakika ya 34 ambaye alifunga tena dakika ya 82. Mabao mengine ya The Blues iliyempoteza kocha wake Mourinho aliyepandishwa jukwaani yalifungwa na Eto’o dakika ya 66 na Oscar dakika ya 78.
Eden Hazard amefunga bao la kusawazisha, lakini halikustahili kuwa bao? Chini Eto'o akishangilia bao lake la kwanza kufunga tangu ajiunge na Chelsea msimu huu


Maajabu: Jose Mourinho alipandishwa jukwaani kwa kubwatuka ovyo ovyo tu uwanjani
Shock: Cardiff's Jordan Mutch scored the opening goal at Stamford BridgeKipa wa Chelsea Chini
Controversy: Samuel Eto'o scored his first goal for Chelsea to make it 2-1
Samuel Eto'o akifunga la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Cardiff
VIKOSI:
CHELSEA: Cech 6; Ivanovic 6, Terry 7, Luiz 5, Bertrand 7 (Torres 64 min, 5); Ramires 5, Lampard 6; Mata 5 (Oscar 59, 7), WiIlian 5, Hazard 7; Eto’o 6 (Azpilicueta, 69, 5).
SUBS: Schwarzer, Essien, Cahill, De Bruyne.
MANAGER: Jose Mourinho 6.
GOALS: Hazard 34 & 82, Eto’o 66, Oscar 78.
BOOKINGS: Luiz.
SENT OFF: Mourinho.
CARDIFF: Marshall 5; Theophile-Catherine 6, Caulker 5, Turner 5, Taylor 5; Cowie 6, Gunnarsson 6 (Gestede 81), Medel 5 (Kim 56, 6), Whittingham 5; Mutch 7; Odemwingie 6 (Campbell 68, 5).
SUBS: Lewis, Hudson, Noone, Maynard.
MANAGER: Malky Mackay 5.
GOALS: Mutch 10.
BOOKINGS: Cowie, Marshall.
MOM: Oscar
REFEREE: Anthony Taylor 4.
ATT: 41.475.

No comments:

Post a Comment