Pages

Sunday, October 20, 2013

TOTTENHAM YAIFUNGA ASTON VILLA 2-0 KWENYE MCHEZO WA ENGLISH PREMIER LEAGUE


Dakika ya 31 kipindi cha kwanza Andros Townsend anaipatia bao Spurs baada ya kuachia shuti kali na hatimae kunyookea kwenye lango la Villa bila kuguswa na mchezaji yoyote. Bao la pili limefungwa na Roberto Soldado dakika ya 69 kipindi cha pili.Andros Townsend akiwafungulia bao Tottenham On target: Townsend is mobbed by his team-mates after the first half strikeMchezaji wa Tottenham Kyle Walker kulia akimpongeza Townsend baada ya kufunga bao

Mashabiki wa Spurs wamerusha kifaa cha moto uwanjani na kumpata refa msaidizi  David Bryan Refa David Bryan angalia alivyokutwa na kifaa hicho uwanjani!!!Incident: Assistant Referee David Bryan was hit by a smoke bomb thrown by Tottenham supporters
Mchezaji wa Tottenham Andros Townsend akichuana na wa Aston Villa Antonio Luna
Aston Villa vs Spurs battlePatashika hapa! Mchezaji wa Tottenham Michael Dawson akichuana na mchezaji wa Villa Libor Kozak kipindi cha kwanza.
On the mark: Soldado scored his fifth of the season and his fist since August 25
 Soldado
Enforcer: Karim El Ahmadi is chased by Spurs midfielder Sandro
Karim El Ahmadi akimkimbiza Sandro. 
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan 7, Bacuna 6, Vlaar 6, Baker 6, Luna 4; Westwood 6, Delph 8, El Ahmadi 5; (Sylla 72, 6) Weimann 6, Kozak 5, (Benteke 61, 6) Agbonlahor 6. (Tonev 79, 6).
Subs not used: Bennett, Steer, Bowey, Baker.
Booked: Westwood, Agbonlahor, Delph.
Spurs: Lloris 6, Walker 6, Dawson 7, Chiriches 6,Vertonghen 7, Paulinho 7, Sandro 7; Townsend 8, Holtby 7, (Dembele 73, 6) Sigurdsson 6; (Lennon 66 ,6) Soldado 7. (Defoe 87).
Subs not used: Friedel, Naughton, Eriksen, Lamela.
Goals: Townsend 31, Soldado 69.
Booked: Paulinho, Dawson, Lennon.
Referee: Phil Dowd (Staffordshire)
Man of the match: Andros Townsend

No comments:

Post a Comment