Pages

Saturday, October 26, 2013

EL CLASCO: FC BARCELONA 2 v REAL MADRID 1, BARCA WAIBUKA KIDEDEA!!


FC BARCELONA wakicheza kwao Nou Camp EL CLASICO kuwavaa wapinzani wao wakubwa Real Madrid, Barcelona ndio wameanza kuifunga Real Madrid dakika ya kumi na nane(18) bao la mchezaji wao mpya Neymar baada ya kufanikiwa kupiga Shuti kali na kupita katikati ya miguu ya wachezaji wawili na kuzama langoni mwa Real Madrid. Bao la pili limefungwa kipindi cha pili na Alexis Sánchez baada ya kutupia akiwa nje ya box kwa kupaisha na kipa kutoona ndani yake, Bao la pekee la Real Madrid limefungwa dakika ya lala salama 90 baada ya Cristiano Ronaldo kukimbia na mpira na kugawa pasi safi kwa Jose Rodriquez.
Mchezaji wa Barca Neymar akishangilia  baada ya kuifungia bao dakika ya 18 kwenye mtanange mkali wa Clasico

Neymar akishangilia baada ya kuipa bao Barca bao la kwanzaSamba star: Neymar put in a brilliant display
Neymar akiweka 1-0
Wachezaji wa Barcelona wakishangilia kwa kumkumbatia Neymar baada ya kufunga baoGareth Bale akipotwaa mpira na kuupoza kwa kichwa Lionel Messi wa FC Barcelona akikingwa na Pepe wa Real Madrid ili asipite kuleta shida
Kocha mkuu wa Real Carlo Ancelotti akitoa maelekezo kwa wachezaji wakeCristiano Ronaldo akiachia krosi mbele ya Dani Alves

Stars in trouble: Ronaldo and Bale have a discussion after Barca's opener
Gareth Bale akiteta jambo na Cristiano Ronaldo baada ya kufungwa bao la kwanza
Neymar akiziona nyavu za Real MadridBale akiwekwa kati!!
Mchezaji wa Real Madrid defender Raphael Varane akijaribu kuuzuia mpira mbele ya Neymar mapema kipindi cha kwanzaDani Alves akimnyooshea mguu kumkinga Cristiano Ronaldo wakati anataka kujaribu kusawazisha bao hilo.

Neymar akipongezwa na Lionel Messi

Mashabiki wakiishangilia timu yao Barcelona
Mchezaji wa Real  Marcelo akipewa kadi ya njano.
Neymar akikabwa 
Alexis Sanchez akimfunga kipa  Diego Lopez na kuipa ushindi wa bao la pili  Barcelona

Hakunaga!!!Tactical battle: Tata Martino (left) and Carlo Ancelotti (right) were also facing their first 'El Clasico'
Tata Martino na Carlo Ancelotti leo kwenye patashika ya 'El Clasico'
Catch me if you can: Ronaldo chases Lionel Messi
Ronaldo akimkimbiza Lionel Messi
VIKOSI:
BARCELONA: Valdés, Alves, Piqué, Mascherano, Adriano, Sergio Busquets, Xavi, Iniesta (Song 77), Fàbregas (Alexis 70), Messi, Neymar (Pedro 84)
Subs not used: Pinto, Montoya, Puyol, Sergi Roberto
Booked: Adriano, Busquets
Scorers: Neymar 19, Alexis 78

REAL MADRID: Diego López, Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo, Ramos (Illarramendi 56), Modric, Khedira, Di Maria (Jese 76), Ronaldo, Bale (Benzema 61)
Subs not used: Casillas, Coentrão, Arbeloa, Isco
Booked: Bale, Ramos, Khedira, Marcelo
Scorer: Jese 90

No comments:

Post a Comment