Pages

Saturday, October 26, 2013

ENGLISH PREMIER LEAGUE: LIVERPOOL 4 vs WEST BROM 1, SUAREZ ANG'ARA APIGA HAT-TRICK NA KUIWEZESHA LIVERPOOL KUKAMATA NAFASI YA PILI!!


Double: Luis Suarez helped Liverpool leapfrog Chelsea into second place in the Barclays Premier LeagueLuis Suarez ameisaidia Liverpool kwa kuiondoa Chelsea nafasi ya pili na kuishikilia wao
Hat-trick: The Uruguayan scored twice in five first-half minutes and again in the second half at Anfield
Majogoo Liverpool leo wameongozwa na Luis Suarez  Uwanjani Anfield kwa kupiga hat-trick  na Daniel Sturridge kufunga Bao moja wakati Liverpool ilipoichapa West Brom Bao 4-1.
Bao la West Brom lilifungwa na James Morrison kwa Penati dakika ya 66 kipindi cha pili.
Suarez akifunga bao dakika ya 12

Joas Olsson  ndani ya box akafanyiwa majanga

West Brom wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati.
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet 7, Toure 7, Skrtel 7, Sakho 6, Johnson 7 (Kelly 62, 6), Lucas 7, Gerrard 7 (Allen 86), Cissokho 7, Henderson 7, Sturridge 8, Suarez (Alberto 89) 9.
Subs not used: Brad Jones, Agger, Moses, Sterling.
Goals: Suarez 12, 17, 55, Sturridge 77.

West Bromwich: West Brom: Myhill 7, Billy Jones 6, McAuley 6, Olsson 6, Ridgewell 5, Yacob 6 (Brunt 69, 5), Mulumbu 6, Amalfitano 6 (Morrison 45, 5), Anelka (Long 69) 5, Sessegnon 5, Anichebe 5.
Subs not used: Lugano, Luke Daniels, Vydra, Berahino.
Goals: Morrison (pen) 66.
Booked: Yacob.
Attendance: 44,747.
Referee: Jon Moss

No comments:

Post a Comment