Pages

Saturday, October 26, 2013

MANCHESTER UNITED 3 v STOKE CITY 2, UNITED YASHINDA KIMBINDE, WAYNE ROONEY AKING'ARA OLD TRAFFORD!!

Relief: David Moyes cheers after the turnaround is completedManchester wakicheza kwenye uwanja wao Old Trafford wao ndio walianza kufungwa bao dakika ya nne baada ya mabeki kufanya makosa baada ya kipa kuutemea mpira kwao na hatimaye Peter Crouch kuutokomeza mpira nyavuni katika dakika ya nne. Giant leap: Javier Hernandez gets up to head home Manchester United's winner with ten minutes to goVan persie akasawazisha bao hilo dakika ya 43, frii kiki iliyotengwa ikawamaliza tena United dakika ya 45 mchezaji Marko Arnautovic kwa kunyoosha mpira huo hadi langoni na kumshinda kipa wa United David De Gea na kufanya mpira kwenda mapumziko Stoke City wakiwa wanaongoza bao 2-1 dhidi ya wenyeji Stoke inayoongozwa na Mark Hughes mchezaji wa zamani wa United. Kipindi cha pili Rooney akaisawazishia bao United na Chicharito aliyeingia kipindi cha pili akaipa bao la tatu na kufanya 3-2 dhidi ya Stoke City.
Wachezaji wa  Stoke wakishangilia baada ya  Peter Crouch'skuwapatia bao la mapema dakika ya nne  Old TraffordWhat a start: Peter Crouch put Stoke into a shock lead after just four minutes
Peter Crouch akishangilia baada ya kuiua United dakika ya nne
What a start: Peter Crouch put Stoke into a shock lead after just four minutesKushangilia ni muhimu !!
Can't keep him out of it: Robin van Persie, who was involved in the game in more ways than one, equalised for the hosts
Robin van Persie akipandishiana na mchezaji wa Stoke City... Robin van Persie  akishangilia nee baada ya kuisawazishia bao dakika ya 43.
Majanga!! Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Fergusonakijionea mwenyewe Old Trafford mambo yanavyokuwa!!
Mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie akitofautiana na Jonathan Walters wakati wa mapumziko.
Turnaround: Wayne Rooney started the comeback with a glancing headerWayne Rooney akisawazisha hapa kwa kichwa safiii
Unstoppable: Marco Arnautovic curled in a fine free-kick for the Potters
VIKOSI:
MANCHESTER UNITED: De Gea 6; Smalling 5 (Valencia 76, 6), Jones 5, Evans 5, Evra 7; Carrick 7, Cleverley 5 (Hernandez 68, 7); Nani 6 (Januzaj 58, 6), Rooney 8, Kagawa 6; Van Persie 7.
Subs: Rafael, Lindegaard, Young, Fellaini.
Scorers: Van Persie 43, Rooney 78, Hernandez 80
Booked: Hernandez, Valencia

STOKE CITY: Begovic 6; Cameron 5, Shawcross 7, Huth 7, Pieters 7; Nzonzi 6, Palacios 5 (Whelan 70, 6); Walters 6, Ireland 6 (Adam 82), Arnautovic 7 (Wilson 49, 6); Crouch 6. Subs: Jones, Assaidi, Wilkinson, Sorenson.
Scorers: Crouch 4, Arnautovic 45
Booked: Shawcross, Crouch, Ireland, Palacios, Wilson, Huth
Referee: Lee Mason 7
Man of the match: Wayne Rooney

No comments:

Post a Comment