Pages

Monday, September 2, 2013

ARSENAL 1 YAIFUNGA TOTTENHAM 1- 0, GUNNERS WAPANDA NAFASI YA NNE, MUUAJI OLIVIER GIROUD!

London boy: Olivier Giroud scores and celebrates the opening goal of the game at the Emirates
Arsenal waendeleza rekodi yao ya kutofungwa na Tottenham katika uwanja wao wa nyumbani baada ya kuwazaba vijana wa Andre Villas-Boas bao moja kwa sufuri.

Tangu mwaka wa 1993 Tottenham imewahi kuifunga Arsenal nyumbani mara moja tu.
Kwa kocha huyo mreno ni siku ya masikitiko kwani ndio mechi yake ya kwanza kwa timu yake kupoteza tangu msimu huu uanze.

Ilikuwa ni katika dakika ya 23 wakati Olivier Giroud alipofunga baada ya kupewa pasi na Theo Walcott.
Katika dakika za lala salama za kipindi cha pili licha ya Tottenham kujenga hema katika ngome ya Arsenal lakini kipa Wojciech Szczesny alifanya kazi ya ziada kwa kuokoa mkwaju wa Jermain Defoe hivyo kuwanyima vijana wa Villas-Boas nafasi ya kulikomboa bao hilo.
Ushindi huu unamaanisha kuwa vijana wa Arsene Wenger wamepanda hadi nafasi ya nne katika jedwali la ligi hiyo ya Uingereza.

London boy: Olivier Giroud scores and celebrates the opening goal of the game at the Emirates
Olivier Giroud akiipachikia bao Gunners leo hii Emirates na hapa akifurahia baada ya kuifunga.
Dangerous: Andros Townsend looked lively in the first half
Andros Townsend akimpelekesha mchezaji wa Arsenal kipindi cha kwanza


Worry: Mathieu Flamini replaces Jack Wilshere after the latter went off with stomach cramps
Mathieu Flamini akichukua nafasi ya Jack Wilshere
Some viewing: David Beckham was in the stands, with son and Arsenal fan Romeo
David Beckham akifuatilia mtanange huo wa washika bunduki
Commanding: Andre Villas Boas tries to rally his troops
Andre Villas Boas akiteta kwa kutoa sauti kuwapa maelekezo wachezaji wake
Phsyical: Etienne Capoue sticks up a high boot on Giroud
Etienne Capoue kushoto akichukua mpira dhidi ya Giroud
Frustrating: Daniel Levy (left) and Franco Baldini have had fine summers in the transfer market, but they couldn't influence on the pitch
Daniel Levy (kushoto na Franco Baldini wakicheki mtanange.Andre Villas Boas nguvu zikimwishia kwa kichapo hicho cha bao 1-0 kutoka kwa Arsenal kumbuka Tangu mwaka wa 1993 Tottenham imewahi kuifunga Arsenal nyumbani mara moja tu.
Kwa kocha huyo mreno ni siku ya masikitiko kwani ndio mechi yake ya kwanza kwa timu yake kupoteza tangu msimu huu uanze.
VIKOSI:
ARSENAL: Szczesny, Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Ramsey, Wilshere (Flamini 43), Rosicky (Monreal 78), Walcott (Sagna 90), Cazorla, Giroud
Subs not used: Fabianski, Zelalem, Gnabry, Sanogo
Booked: Rosicky, Flamini
Scorer: Giroud
TOTTENHAM: Lloris, Walker, Dawson, Verthongen, Rose, Capoue (Sandro 74), Paulinho, Dembele (Defoe 68), Townsend (Lamela 74), Chadli, Soldado
Subs not used: Friedel, Naughton, Holtby, Sigurdsson
Booked: Defoe
Attendance: 60,073
Referee: Michael Oliver

No comments:

Post a Comment