Pages

Monday, September 2, 2013

REAL MADRID YAIFUNGA ATHLETIC BILBAO 3-1 LA LIGA


Ronaldoakiruka juu kutupia kwa kichwa ikiwa ni bao lake la kwanza kwa msimu huu tangu uanze
BAO 2 za Alarcon Isco na moja la Cristiano Ronaldo, likiwa Bao lake la kwanza Msimu huu, leo limewapa Real Madrid ushindi wao wa 3 mfululizo kwenye La Liga walipoipiga Athletic Bilbao Bao 3-1 Uwanjani Santiago Bernabeu.
Katika Mechi hii Kiungo Luka Modric, akisaidiwa na Sami Khedira, ndie aliekuwa Nyota wa mchezo kwa kusambaza pasi safi na za uhakika.


Jembe jipya: Isco akishangilia baada ya kuifunga bao la pili Bilbao ikiwa ni mwanzo wa kufunga msimu huu tangu uanze kwa kijana huyo mdogo alisajiliwa msimu huu 2013-14

Salamu kwa Arsenal: Angel Di Maria alicheza dakika 90 za mchezo huu kati yao na Athletic Bilbao

Ronaldo akianguka chini baada ya patashika kati yake na Carlos Gurpegi

Casillas na benchi kwa mara nyingine

Marceloakimkaanga mchezaji wa Bilbao Carlos Gurpeg.
**Mpaka sasa mechi za leo jumapili zinaendelea kuchezwa, Messi tayari ameishaipatia bao Barcelona baada ya kuwatoka mabeki pamoja na kipa Valencia. kipndi cha kwanza.**
RATIBA/MATOKEO:
LA LIGA
Ijumaa Agosti 30
Almeria 2 Elche 2
Rayo Vallecano 1 Levante 2
Jumamosi Agosti 31
Celta Vigo 1 Granada 1
Valladolid 1 Getafe 0
Osasuna 0 Villarreal 3
Jumapili Septemba 1
Real Madrid 3 Athletic Bilbao 1
18:00 Espanyol - Betis
20:00 Real Sociedad - Atletico Madrid
22:00 Sevilla - Malaga
22:00 Valencia  0 - Barcelona 1*

No comments:

Post a Comment