Pages

Wednesday, August 28, 2013

LIVERPOOL YAIFUNGA NOTTS COUNTY 4-2 KWENYE MASHINDANO YA CAPITAL ONE

Back in front: Daniel Sturridge scores Liverpool's third goal

Liverpool walipelekwa Dakika 120 kwenye Mechi ya Raundi ya Pili ya Kombe la Ligi, CAPITAL ONE CUP, walipocheza na Timu iliyo Daraja la 3, Ligi 1, Notts County na kutoka Sare 2-2 katika Dakika 90 na hatimae kushinda 4-2 kwenye Dakika za Nyongeza 30 na kutinga Raundi ya Tatu.
In form: Daniel Sturridge scored his third in three games to put Liverpool two up
Liverpool waliongoza 2-0 kwa Bao za Raheem Sterling na Daniel Sturridge lakini Kipindi cha Pili Yoann Arquin na Adam Coombes wakaisawazishia Notts County na Mechi kwisha 2-2 katika Dakika 90.
Katika Dakika za Nyongeza 30, Sturridhe na Jordan Henderson wakaipa Liverpool Bao 2 na kushinda 4-2.
Timu nyingine za Ligi Kuu England ambazo zilishinda Jana ni WBA, Sunderland, Southampton, Fulham [kwa Penati], Norwich, Hull City na West Ham.
Crystal Palace ilibwagwa 2-1 na Bristol City.
Katika Raundi ya Tatu, zile Timu za Ligi Kuu England ambazo zinashiriki Mashindano ya UEFA Ulaya, UEFA CHAMPIONZ LIGI na EUROPA LIGI, zitaanza kushiriki.
Sterling work: Raheem Sterling opens the scoring for Liverpool
Raheem Sterling ndiye aliyeifungulia bao la kwanza Liverpool
Can can do attitude: Sterling tries a high kick to get the ball under control
Sterling akiuvuta mpira
Down and out: Aly Cissokho had to go off injured after just 10 minutes
Aly Cissokho aliumia na kulazimika kutolewa nje
Carried off: Kolo Toure leaves the field on a stretcher
Kolo Toure hakujiweza ..alibebwa na stretcher na kutolewa nje ...
Gerrard, Gerrard what's the score? The Liverpool captain obligingly tells the Notts County fans at 2-2
Kapteni wa Gerard Liverpool akionesha alama ya vidole ya  2-2 kwa maana ngoma bado mbichi
Challenge: Joss Labadie of Notts County battles with Luis Alberto as Steven Gerrard looks on
mchezaji  Joss Labadie wa Notts County kwenye patashika kugombea mpira jana usiku
Back in it: Yoann Arquin (centre) heads in off the bar for Notts County
Yoann Arquin akitupia kwa kichwa na mpira kugonga posti
A great leveller: Adam Coombes celebrates his equaliser
Adam Coombes akishangilia baada ya kusawazisha
County set: Coombes (No 14) is mobbed by his team-mates following his equaliser
Coombes (No 14) akipongezwa na wenzake na mpira kusonga mbele kwa dakika 120
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet, Johnson, Toure, Wisdom, Cissokho (Agger 10min), Gerrard, Allen (Henderson 65), Alberto (Countinho 72), Ibe, Sturridge, Sterling.
Subs not used: Brad Jones, Aspas, Lucas, Borini.
Booked: Wisdom, Sterling.
Goals: Sterling 4, Sturridge 29, 105, Henderson 110.
Notts County: Bialkowski, Dumbuya, Liddle, Smith, Stevens, Bell (Coombes 82), Labadie, Fotheringham (Boucaud 72), Campbell-Ryce (Thompson 71), Arquin, McGregor.
Subs not used: Murray, Spiess, Tempest, Nangle.
Booked: Campbell-Ryce, Arquin
Goals: Arquin 62, Coombes 84.
Attendance: 42,231.

No comments:

Post a Comment