Pages

Wednesday, August 28, 2013

BONDIA MMAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA KUMKABILI CHEKA IJUMAA


Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Bondia Phil Williams akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kumlaki uwanja wa ndege
Mdau wa michezo nchini Saidi kindeka kushoto akiwa na Bondia Phil Williams
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua

Bondia Phil Williams akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams

No comments:

Post a Comment