LIONEL MESSI, FRANK RIBÉRY NA RONALDO KUWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA ULAYA
Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Franck Ribery
watachuana kuwania tuzo ya shirikisho la kandanda barani ulaya UEFA kuwa
mchezaji bora wa Ulaya katika msimu uliopita..
UEFA ilitangaza majina ya
wanasoka hao watatu siku ya Jumanne baada ya awali kutangaza orodha ya
wachezaji kumi bora walioteuliwa na waandishi habari wa nchi wanachama za UEFA..
Ribery ni miongoni mwa
wachezaji wanne wa klabu bingwa ya Ulaya Bayern Munich wanaotoa changamoto kwa
wachezaji wawili mashuhuri wanaosifiwa katika kandanda ya barani
Ulaya.
Tuzo hiyo itatolewa Agosti
29 mwaka huu 2012 wakati wa droo ya michuano ya klabu bingwa ya Ulaya mjini
Monaco baada ya kupigiwa kura na jopo la wanahabari..
Messi alishinda tuzo ya kwanza misimu miwili iliyopita na mwenzake wa klabu ya Barcelona, Andres Iniesta alishinda mwaka jana.
WACHEZAJI WALIOSHIKA NAFASI ZA 4 HADI 10:
Messi alishinda tuzo ya kwanza misimu miwili iliyopita na mwenzake wa klabu ya Barcelona, Andres Iniesta alishinda mwaka jana.
WACHEZAJI WALIOSHIKA NAFASI ZA 4 HADI 10:
4 Robert
Lewandowski (POL) – Borussia Dortmund (Pointi 80)
5 Arjen Robben (NED) – FC Bayern München (55)
6 Thomas Müller (GER) – FC Bayern München (51)
7 Gareth Bale (WAL) – Tottenham Hotspur FC (48)
8 Bastian Schweinsteiger (GER) – FC Bayern München (34)
9 Zlatan Ibrahimović (SWE) – Paris Saint-Germain FC (27)
10 Robin van Persie (NED) – Manchester United FC (24)

Post a Comment