Mwanadada huyu ambaye amejipatia umaarufu kutokana na 'kuuza sura' kwenye video za mastaa mbalimbali wa muziki hapa Tanzania, Agnes Gerald (Agnes Masogange) ni mmoja kati ya Wanawake wawili raia wa Tanzania waliotambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania.
No comments:
Post a Comment