Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 18, 2013

MOURINHO AJITOSA RASMI KUMTAKA ROONEY KWA MPANGO WA KUBADILISHANA NA DAVID LUIZ NA JUAN MATA.


Making a bid: Jose Mourinho and Chelsea made an official approach to sign Wayne Rooney Jose Mourinho na Chelsea wajitosa rasmi kutaka saini ya Wayne RooneyWe want Roo: Mourinho chats with Chief Executive Ron Gourlay Mourinho akichati na mtendaji mkuu wa klabu yake ya Chelsea Ron Gourlay.
Jose Mourinho ameweka wazi kuwa Wayne Rooney alikuwa ni chaguo pekee na mchezaji pekee ambaye Chelsea ilikuwa ikijaribu kumsajili msimu huu wa kiangazi.Rooney kwasasa yuko katika ya vilabu vya Chelsea na United licha ya United kukataa ofa ya mchezaji huyo.
Chelsea imethibitisha kuwa inataka kumnunua Rooney, ambaye ameingia katika mgomo na klabu yake ya United baada ya meneja wake David Moyes kuropoka jambo kwa waandishi wa habari huko Bangkok wiki iliyopita.United pia imeonekana kukataa wazo la kupewa wachezaji wawili David Luiz au Juan Mata kama mpango wa kubadilisha na Rooney.
Akiongea akiwa Bangkok baada ya kushinda mchezo wake wa kwanza tangu ajiunge kwa mara ya pili na Chelsea kama meneja baada ya kuichapa Singha All- Stars kwa bao 1-0, Mourinho bado ameonekana kutokukata tamaa juu ya wazo hilo.Transfer tussle: Wayne Rooney's future remains unclearWill he stay or will he go: Rooney arrives back at Manchester Airport after returning injured from the pre-season tour

No comments:

Post a Comment