Pages

Monday, June 10, 2013

JOSE MOURINHO AFANYA MKUTANO WA KWANZA NA WAANDISHI TANGU ARUDI CHELSEA, UNAJUA ALICHOKISEMA?

Katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari Kauli ya Jose Mourinho zamani akijiita Special One? anasema No, I'm just the Happy One...

The Happy One: Jose Mourinho speaks during his returning press conference at Stamford Bridge
The Happy One: Jose Mourinho akiongea katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari ndani ya viunga vya Stamford Bridge
The Happy One: Jose Mourinho speaks during his returning press conference at Stamford Bridge
The Happy One: Jose Mourinho speaks during his returning press conference at Stamford Bridge
Akiongea mbele ya waandhi wa habari takribani 250 Mreno huyo mwenye umri wa miaka 50 aliuulizwa kama bado anaendelea na jina lake la utani la Special One, Jibun lake lilikuwa ni 'I am the Happy One. I am very happy.

Jose Mourinho amedai kuwa "Ni mtu mwenye furaha" baada ya kurejea Chelsea, na kuongeza yeye ni meneja bora kuliko alivyokuwa.Mreno huyo mwenye umri wa miaka 50 ambaye hapo kabla aliongoza The Blues kati ya mwaka 2004 na 2007, alitangazwa rasmi kurejea Chelsea June 3.Katika mkutano wake na waandishi wa habari  Stamford Bridge amekaririwa akisema "I am the Happy One," .
Rekodi ya Mourinho katika vilabu mbalimbali mpaka June mosi 2013
Team
M
W
D
L
W%
Benfica (2000)
11
6
3
2
55%
Uniao de Leiria (2001-02)
29
15
8
6
52%
Porto (2002-04)
124
90
21
13
73%
Chelsea (2004-07)
185
124
40
21
67%
Inter Milan (2008-10)
108
67
26
15
62%
Real Madrid (2010-13)
178
128
28
22
72%
Total
635
430
126
79
68%

Bosi huyo wa zamani wa Real Madrid ambaye alichukua nafasi ya Rafael Bernitez Stamford Bridge, amesaini mkataba wa miaka minne na amesema angependa kuwepo hapo mpaka mwisho.Alipoulizwa juu ya kama hakujisikia vizuri kutokutakiwa na ama Manchester United au Manchester City Mourinho aling’aka  na kusema"Nipo pale nilipopataka kuwepo nisingeweza kubadilisha hilo kivyovyote"Bosi huyo huyo wa zamani wa Porto na Inter Milan aliisaidia Chelsea kushinda mataji makubwa wakati wa uongozi wake yakiqwemo mataji mawili ya ligi kuu ya England, mataji mawili mawili ya League Cups na FA Cup. Ana matumaini ya kuendeleza zaidi mafanikio.Mataji makubwa aliyoshinda JoseChampions League: 2004, 2010
  • Uefa Cup: 2003
  • Primeira Liga (Portugal): 2003, 2004
  • Premier League (England): 2005, 2006
  • Serie A (Italy): 2009, 2010
  • La Liga (Spain): 2012
  • Taca de Portugal: 2003
  • FA Cup (England): 2007
  • Coppa Italia (Italy): 2010
  • Copa del Rey (Spain): 2011
Mameneja waliwahi kuifundisha Chelsea chini ya umiliki wa Roman Abramovich
  • Claudio Ranieri: Sep 2000 to May 2004
  • Jose Mourinho: Jun 2004 to Sep 2007
  • Avram Grant: Sep 2007 to May 2008
  • Luiz Felipe Scolari: Jul 2008 to Feb 2009
  • Guus Hiddink: Feb 2009 to May 2009
  • Carlo Ancelotti: Jun 2009 to May 2011
  • Andre Villas-Boas: Jun 2011 to Mar 2012
  • Roberto Di Matteo: Mar 2012 to Nov 2012
  • Rafael Benitez: Nov 2012 to May 2013
  • Jose Mourinho: June 2013 - present

Happy families: Mourinho poses with chairman Bruce Buck (left) and chief executive Ron Gourlay (right)
Mourinho akipiga picha na mwenyekiti Bruce Buck (kushoto) na mtendaji mkuu Ron Gourlay (kulia)
...He's back: Jose Mourinho spoke to the press on Monday for the first time since returning to Chelsea
Hot ticket: Mourinho's press conference at Stamford Bridge was attended by around 250 reporters
He's back: Jose Mourinho spoke to the press on Monday for the first time since returning to Chelsea
Mourinho's press conference

No comments:

Post a Comment