Pages

Monday, June 10, 2013

ROBIE VAN PERSIE AMWAMBIA DAVID MOYES WANATAKA MATAJI KWANI KIWANGO KIPO UNITED

Long season: Robin Van Persie trains with his Holland team-mates ahead of their friendly with China in Beijing
 Robin Van Persie akifanya mazoezi na kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi kuelekea katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya China mjini Beijing
 Robin van Persie amepokea vizuri zama mpya ya klabu ya Manchester United lakini ameomuonya bosi mpya wa klabu hiyo David Moyes kuwa hakuna cha zaidi isikuwa ni kulinda na kutetea taji la ligi kuu Premier League.Moyes alichukua nafasi ya m-Scotishi mwenzake Sir Alex Ferguson katika badiliko la kwanza la klabu hiyo la uongozi ndani ya robo karne.
Hata hivyo Van Persie, mbaye alitwaa taji lake la kwanza la ligi katika mwaka wake wa kwanza ndani ya klabu hiyo ana matumaini kuwa itakuwa ni biashara kubwa linapokuja suala la kushinda mataji.
Long season: Robin Van Persie trains with his Holland team-mates ahead of their friendly with China in Beijing

Long season: Robin Van Persie trains with his Holland team-mates ahead of their friendly with China in Beijing
Long season: Robin Van Persie trains with his Holland team-mates ahead of their friendly with China in Beijing
New challenge: Moyes will be under pressure to deliver silverware for United after joining from Everton
Moyes atakuwa katika shinikizo kubwa la kutwaa mataji katika kikosi cha baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Everton

Amenukuliwa na MUTV mshambuliaji huyo akisema 'Itakuwa ni zama mpya na tunaangalia mbele, sehemu ya kazi yetu pia. Tunapaswa kupambana na hali hiyo mpya na ndivyo ilivyo'.
United itakuwa ikipambana na upinzani mkubwa kutoka katika vilabu vya Chelsea na wapinzani wao wa jiji la Manchester, Manchester City vilabu ambavyo vimebadilisha maisha kwa kuchukua mameneja wapya'.

Main man: Van Persie played a key role in United's Premier League title success last season
Main man: Van Persie played a key role in United's Premier League title success last season
New boy: Wilfried Zaha (right) looks set to be joined by several new signings over the summer months
Wilfried Zaha (kulia) anatarajiwa kujiunga na United.

No comments:

Post a Comment