Pages

Saturday, June 1, 2013

ALBAMU YA WAKUVANGA WA ORIJINO COMEDI INAYOITWA KATO IPO MITAANI, UKINUNUA UNAWEZA UKABAHITIKA KUPATA PIKIPIKI

Hizi ndiyo pikipiki za ushindi katika albam ya kato ya msanii wakuvanga ambaye ameitambulisha albam yake mitaa mbalimbali ya Jiji la DSM

Kushoto ni Mwasu Mporeambaye ni  mratibu wa shughuli ya uuzaji wa albam ya msanii wa muziki na vichekesho Wakuvanga wakati wa kuonyesha pikipiki kwa waandishi wa habari

No comments:

Post a Comment