Pages

Saturday, June 1, 2013

ILLUMINATHA DOMINICK ATWAA TAJI LA MISS REDD'S MISS MULEBA 2013


Mshindi wa Redd's Miss Muleba Illuminatha Dominick akitabasamu mara baada ya kutangazwa
Mshindi wa pili kushoto Linah Mutayoba na kulia ni mshindi wa wa tatu Fransisca

Ushindi mtamu...
Babylove Kalalaa ndiye aliyekuwa ameshikilia taji na sasa ameliachia Illuminatha kwa mwaka huu 2013
Washiri wote wa redd's Miss Muleba kwenye show ya pamoja


Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo akifuatilia show
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo na aliyekaa (kushoto) ni kaimu afisa Utamaduni Wilaya ya Muleba Bw. Kamaleck




Majaji wakitafuta mbinu za kumpata mshindi kila mmoja na kalamu yake


Dayna Nyange akivutwa hapa kutoa burudani







Mama na Mwana

No comments:

Post a Comment