Pages

Friday, May 31, 2013

DAVID LUIZ KUMFUATA BENITEZ NAPOLI

RAFA BENITEZ anataka kuhakikisha anatua Napoli na Beki wa Kati wa Chelsea, David Luiz, ambaye huduma yake pia inasakwa na Klabu ya Barcelona.

Lakini Benitez, ambaye amefanya kazi na beki huyo msimu uliomalizika, anataka kuhakikisha anatoa upinzani kwa Barcelona kwa kutoa pauni milioni 30 ili kumpata.

No comments:

Post a Comment