Pages

Wednesday, May 22, 2013

ANCELOTTI ATHIBITISHA KUPOKEA MAOMBI KUTOKA REAL MADRID BAADA YA KLABU YA REAL MADRID KUONA JOSE MOURINHO ANASEPA KWELI


MENEJA wa klabu ya Paris Saint-Germain-PSG, Carlo Ancelotti amethibitisha kuwa amepokea maombi kutoka klabu ya Real Madrid baada ya kutangaza nia yake ya kuondoka PSG mwishoni mwa msimu huu. 

Ancelotti ambaye ni raia wa Italia kwa kipindi kirefu amekuwa akihusishwa na tetesi za kuondoka PSG majira ya kiangazi pamoja na kuiwezesha klabu hiyo kushinda taji la kwanza la Ligi Kuu nchini Ufaransa kwa kipindi cha miaka 18. Kocha huyo alichaguliwa kuwa kocha bora wa msimu sambamba na kocha wa klabu ya Saint-Etiennes Christophe Galtier Jumapili iliyopita lakini baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo Ancelotti aliweka wazi msimamo wake wa kutaka kuondoka PSG.Ancelotti amesema tayari ameshafanya mazungumzo na rais wa klabu hiyo pamoja na mkurugenzi wa michezo Leonardo na sasa anasubiri uamuzi wao ili kujua mustakabali wake. Pia katika tuzo hizo mshambuliaji nyota wa PSG Zlatan Ibrahimovic alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka baada ya kumaliza akiwa mfungaji bora kwa kufunga mabao 29.
Come home: Mourinho's return to Chelsea would be a popular move among the Stamford Bridge crowd
Mashabiki wengi wa Chelsea wana hamu kubwa kuona Jose akitinga nyumbani DarajaniMashabiki juzi tu kwenye Fainali ya Europa bado walikuwa wananyoosha mabango ya kumhitaji Jose pamoja na kuwa ugenini.
Damning verdict: Florentino Perez at the press conference
Florentino Perez kwenye mkutano ameshangaa sana kuona Jose anasepa kinamna namna..Sidelines: Mourinho riled supporters by falling out with goalkeeping legend Iker Casillas
Kipa Iker Casillas
Brothers in arms: Frank Lampard would love to see Mourinho return to Stamford BridgeFrank Lampard atafurahi kuona Mourinho anarudi Stamford Bridge

KUHUSU JOSE MOURINHO
1963: Born January 26. Father Felix Mourinho was a former Portugal goalkeeper.
1992: After middle-ranking jobs at Estrela Amadora and Vitoria Setubal, works as Bobby Robson's translator at Sporting Lisbon before becoming involved in team affairs.
1993: Moves to Porto with Robson.
1996: Joins Barcelona as assistant coach to Robson.
1997: Stays on under new coach Louis van Gaal.
2000: Lasts nine games as coach of Benfica before resigning due to problems in the boardroom.
2001: Appointed coach of Uniao de Leiria.
2002: Joins Porto.
2003: In Mourinho's first full season in charge, Porto win the treble of domestic league, cup and UEFA Cup.
2004: Porto win the league and add the Champions League, with 3-0 victory over Monaco.
June 2 - Appointed Chelsea manager.
2005: February 27 - Wins Carling Cup with final defeat of Liverpool.
April - Chelsea seal Premier League title with 2-0 win at Bolton.
2006: April - Chelsea claim a second consecutive Premier League title and Mourinho's fourth domestic title in a row.
2007: February - Chelsea win Carling Cup, beating Arsenal 2-1.
May - Chelsea lose Champions League semi-final to Liverpool, but win the FA Cup against Manchester United.
August - Chelsea set a new record of 64 unbeaten home matches in the English top flight with win over Birmingham.
September - Leaves Chelsea by "mutual consent".
2008: June - Appointed Inter Milan boss on a three-year contract.
August - Wins Italian Supercup with victory over Roma.
2009: May 16 - Wins Serie A at the first attempt.
May 25 - Signs a contract extension at Inter until 2012.
2010: March - Inter knock Chelsea out of the Champions League in the last 16.
May 5 - Inter win the Coppa Italia.
May 16 - Mourinho claims his second Serie A title with Inter.
May 22 - Guides Inter to Champions League triumph with a 2-0 win over Bayern Munich.
May 26 - Madrid part company with coach Manuel Pellegrini and approach Mourinho.
May 31 - Unveiled as Real Madrid coach.
2011: May 3 - Madrid lose Champions League semi-final to Barcelona.
August 18 - Appears to poke then Barcelona assistant manager Tito Vilanova in the eye during Super Copa defeat at the Nou Camp.
2012: May 2 - Guides Madrid to their first Primera Division title in four years.
May 22 - Signs contract extension until June 2016.
August - Leads Madrid to a Super Copa victory over Barcelona.
April - After eliminating Manchester United, Madrid are beaten by Borussia Dortmund in the Champions League semi-finals.
May 17 - Madrid lose the Copa del Rey final to Atletico Madrid, meaning the season ends without major silverware.
May 20 - It is confirmed that Mourinho will leave Real after the final game of the season against Osasuna.

No comments:

Post a Comment