Wasanii wa kike nchini,
wamejitolea kutengeneza wimbo unaowahamasisha wakinamama kujitoa na kuona kama
fistula ni ungonjwa ambao upo na una tibika, na kuwahamasisha wakina mama
kutokuona aibu na kubaki nao nyumbani. wimbo huo umewashirikisha wasanii kama
Mwasiti, Recho, Lina, Vanessa Mdee, Feza Kessy,Keisha, The Trio, Dayna,
Maunda Zorro, Pipi, Queen Darlin, Vida, Zuhura, Meninnah, Vumilia,Baby J, Sundy
Gaga.usikilize hapa chini.
No comments:
Post a Comment