Pages

Sunday, April 7, 2013

LIVERPOOL YATOSHANA NGUVU NA WEST HAM LEO


Kikosi cha Liverpool kikikumbuka ya nyuma ya  Hillsborough Meneja wa Liverpool  Brendan Rodgers akiangalia vijana wake leo AnfieldRicardo Vaz Te wa West Ham na Jose Enrique wa Liverpool wakishikana kugombea mpiraCarlton Cole wa West Ham United na Daniel Agger wa Liverpool wakichuanaMeneja wa West Ham United Sam Allardyce akikata tamaa kwenye Barclays Premier League leo kati ya Liverpool na West Ham United kwenye uwanja wa Anfield leo mchanaLuis Suarez akijaribu kufunga bao...Steven Gerrard akijaribu kuipatia bao  Liverpool


RATIBA/MATOKEO
Jumapili 7 April
[Saa 9 na Nusu Mchana] 
Liverpool  0 v West Ham 0

[Saa 10 Dak 5 Jioni] 
Tottenham  2 v Everton 2
[Saa 11 Jioni] 
Chelsea 2 v Sunderland 1
Newcastle 1Vv Fulham 0
[Saa 12 Dak 10 Jioni] 
QPR  1 v Wigan 0


Kesho Jumatatu 8 Aprili 
[Saa 4 Usiku] 
Man United v Man City

No comments:

Post a Comment