Pages

Tuesday, January 15, 2013

UJUMBE WA SEATTLE SOUNDERS WASISITIZA UFADHILI KWENYE SOKA NI MUHIMU ILI MAFANIKIO YAONEKANE

Kasey Keller mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa la Marekani akizungumza ufadhili wa makapuni kwenye soka na umuhimu wa vyombo vya habari kwenye kutangaza soka wakati wa semina iliyofanyika leo

Wadau wa soka na waandishi wa habari wakisilikiza kwa makini

Kasey Keller akizungumza, kulia ni rais wa shirikisho la soka nchini Leodgar Tenga


Picha ya pamoja ya ujumbe wa Seatlle Sounders na rais wa shirikisho la soka 

No comments:

Post a Comment