Pages

Wednesday, January 16, 2013

VIGOGO WA SOKA WAJITOKEZA KUOMBA KUGOMBEA NAFASI ZA URAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF)


Athuman Nyamlani akiwasili ofisi za shirikisho la soka nchini (TFF) kuchukua fomu
Nyamlani akilipa  pesa za fomu
Anasaini kuwa amechukua fomu

 
Nyamlani akikabidhiwa fomu yake
Anaondoka ofisi za TFF
Anaongea na waandishi wa habari
Nyamlani akiwa na wapambe waliomsindikiza
Jamali Malinzi akirudisha fomu kwenye ofisi za TFF kwani alichukua online kwenye website ya TFF na kulipa fedha kupitia benki
 
Malinzi anakabishi fomu ndani ya moja ya ofisi za TFF
Akisaini kwenye register kama karudisha fomu

No comments:

Post a Comment