Pages

Tuesday, January 15, 2013

SEATTLE SOUNDERS YAELEZEA UTALII WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, BODI YA UTALII YAPONGEZA KWANI MAREKANI IMEKUWA NCHI YA PILI KWA WINGI WA WATALII WALIOTEMBELEA TANZANIA MWAKA JANA

Mkurugenzi wa masoko wa bodi ya utalii akiwashukuru ujumbe wa Seatle Sounders kukubali kuutangaza utalii wa Tanzania nchini mwao, ukutani ni picha za matangazo ya vivutio vya Tanzania vilivyoko kwenye uwanja wa mpira wa timu ya Seatle Sounders nchini Marekani
Picha kwenye laptop ikionyesha jinsi uwanja wa Seatlle Sounders unavyojaza mashabiki



Mchezaji wa Marekani Kasey Keller ambaye alishawahi kucheza ligi ya Uingereza na mkuu wa msafara wa Seatlle Sounders  ya Marekani
Kutoka kushoto ni Cristine Adding kutoka taasisi ya Washington global hearth allience (WGHA) ambaye naye amefuatana na ujumbe huo katika ziara ya hapa nchini, Kasey Keller, Geofrey Meena Mkurugenzi wa masoko TTB, Geofrey Tengeneza ambaye ni afisa uhusiano Mkuu  wa TTB na Kevin Griffing.

Mkurugenzi wa masoko TTB, Geofrey Meena  na Afisa uhusiano Mkuu, Geofrey Tengeneza wakati wa mazungumzo ya jinsi utalii wa Tanzania unavyotangazwa nchini Marekani yaliyofanyika kwenye hoteli ya New Afrika jijini, Dar es salaam leo

(KUSHOTO) Kasey Keller na mlinzi wa timu ya Saetlle Sounders Marc Burch (KULIA) wakipokea zawadi ya picha iliyochorwa vivutio vinavyopatana Tanzania


No comments:

Post a Comment