Pages

Friday, January 4, 2013

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATEMBELEA FAMILIA YA SAJUKI KUTOA POLE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole leo Januari 4, 2013.

No comments:

Post a Comment