Pages

Friday, January 4, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU KUMZIKA SAJUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 
Hii ndio safari ya Mwisho ya msanii wa filamu za Tanzania maarufu kwa jina la Sajuki

No comments:

Post a Comment